Teachers and Promoters of Swahili in Uganda
Jina langu ni Ainebyoona Bolis, kutoka Chuo kikuu Cha Kyambogo mwaka wa tatu. Ninachukua kozi ya BAED na masomo ya kiswahili na jiografia . Pia Mimi ni mwana-uganda Kwa mazaliwa Kwetu ni wilayani Rukiga Uganda magaribi lakini sasa naishi Chuoni Kyambogo Kampala . Napenda kuenea Kwa lugha ya kiswahili nchini Uganda
Mwalimu wa kiswahili kutoka chuo kikuu Cha Kyambogo. Napenda kuenea Kwa kiswahili , tafadhali ifike kote nchini Uganda. Kiswahili Umoja wetu , lugha yetu, nguvu yetu.